Mtu ana malori zaidi ya 2. Je, inatakiwa awe na TFDA machine ngapi?

Umenichekesha mpaka nikapata njaa! Dah hii nchi ina Comedian wengi sana....ni EFD Machine acha uzuzu! TFDA kwani yanabeba bange?
 
Mkuu pole kwa yote..ila tambua serikali ya sasa inataka kumuona mfanyabiashara akivuja jasho la damu.
Unachotakiwa kufanya ni kuwa na EFD machine kila gari. Na utoe risiti pale unapokuwa umepata malipo yako. Barabarani kuwa na karatasi ya mzigo au kama ulipotoka umenunua huo mzigo cash basi tembea na risiti. Lakini ukweli ni kwa changamoto ni kubwa saaana. Kuna jamaa wa mbao walimkamata eti TRA wanakomaa alipe faini ya 4.5 M asee we acha tu.
 
Mkuu kabla ya kukushauri naomba ridhaa yako nicheke kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] rukhusa mkuu
 
MODS NAOMBA MNIEDITIE KICHWA CHA HABARI KUTOKA TFDA KUWA EFD
 
T R À nichanga moto y a biashara now days
 
Na wewe ni EFD sio TFDA, wala FDA!!
 
Tfda tena?
 
TFDA ya nini tena mzee? ,kwani hayo maroli yamekuwa chakula au dawa?
 
Sasa kuna kampuni inayo malori 72,kila lorry liwe EFD machine yake,?mashine moja inauzwa 800,000 yesu wangu.!!!!???
EFD inaendana na usajili wa vat
Kama una vat 100 ,itabidi uwe na efd 100
Inawezwkana kabisa ukawa na malori 72 kwa vat registration moja hivyo basi Efd ni moja tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…