Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Umenichekesha mpaka nikapata njaa! Dah hii nchi ina Comedian wengi sana....ni EFD Machine acha uzuzu! TFDA kwani yanabeba bange?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFDA means Tanzania Food and Drugs AuthorityUnachanganya madesa mkuu TFDA wako pale external,
Mkuu nakuruhusu kwa niaba yakeMkuu kabla ya kukushauri naomba ridhaa yako nicheke kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] rukhusa mkuuMkuu kabla ya kukushauri naomba ridhaa yako nicheke kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe ni EFD sio TFDA, wala FDA!!Serikali sasa hiv inalazimisha watu wa maroli nao wawe wana tfd machine kwa ajili ya kukata risiti ...
Je, hii inawezekana vipi na kama mtu ana maroli zaid ya 2
Je, inatakiwa awe na TFDA machine ngapi? Na unaanzaje kumkatia mtu risit ilihali mzigo bado haujafika si ndo mwanzo wa kutiana hasara..
Serikali inajiangalia yenyewe bil kujali wananchi wapo kwenye hali huu ni uonevu wa hali ya juu
Tfda tena?Serikali sasa hiv inalazimisha watu wa maroli nao wawe wana tfd machine kwa ajili ya kukata risiti ...
Je, hii inawezekana vipi na kama mtu ana maroli zaid ya 2
Je, inatakiwa awe na TFDA machine ngapi? Na unaanzaje kumkatia mtu risit ilihali mzigo bado haujafika si ndo mwanzo wa kutiana hasara..
Serikali inajiangalia yenyewe bil kujali wananchi wapo kwenye hali huu ni uonevu wa hali ya juu
EFD inaendana na usajili wa vatSasa kuna kampuni inayo malori 72,kila lorry liwe EFD machine yake,?mashine moja inauzwa 800,000 yesu wangu.!!!!???