Mtu anaanzaje kumchukia ndugu yake?

Mimi kuna mtu alinijia ofisini kwangu amechukia sana, akanambia kwanini namuibia wateja wake? Maskini yangu, sijawai kumuibia wateja, wanakuja wenyewe kwangu
Sasa huyo alimaanisha unamuibia kishirikina.
 
Jipende mwenyewe ndo ujifunze kumpenda mwingine...hii ndo falsafa yangu
Unaweza ukajipenda mwenyewe lakini akatokea mtu akakuongezea upendo kwa kukupenda.

Hivyo ukawa na upendo mbili nafsini na thamani ya upendo wako ikaongezeka.
 
Huyo bw mdogo wako jishushe kwake kumuongelesha uone kama hashuki 'temper'.
 
Hongera bana hammer aise unatiringisha bana ungetaja gari tu inatosha hata hapa utajiongesa maadui
 
Ni maroho ya mafarakano utupwa kwenye ukoo hivyo upelekea ndugu kabisa kuwa PAKA na panya.
 
Huyu ndugu yako sio mzima.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na hasira,hasira ukaa moyoni mwa mtu mjinga, mpumbavu,asiyelimika.Mtu aliyeelimika Utawala hasira zake na Katu hazimsumbui.
 
Ndugu Wa kweli ni yule mnayeendana naye,kumbuka yesu alipofuatwa na wazazi wake na kuambiawa mama yako na baba yako wanakutafuta , yeye alijibu baba Yangu na mama Yangu ni wale wanaolitii na kuliheshimu neno la Mungu.


Kwahiyo si kweli kuwa ndugu Wa kweli ni baba,mama ,mke na watoto,la hasha ,ukisema hivyo Mimi ninapinga kwani ni Mara ngapi tunasikia mke/Mme kumuua mwenzi kwa sababu tofauti,watoto pia kuwainukia wazazi wao ni jambo la kawaida.

Hivyo ndugu Wa kweli ni yule mnayeendana naye na kusikilizana kwa kila kitu,ujue kuna watu hata si ndugu zako unaweza kuta wanakuombea kheri kuliko hata mkeo/mmeo au nduguzo Wa damu.
 
Hapo kwenye kuchukia umasikini hunifikii hata kwa nukta moja 😄
 

Hapo kwenye kuchukia umasikini hunifikii hata kwa nukta moja 😄

We acha tu! Ufukara chanzo cha matatizo mengi sana. Utajikuta unaamini mambo ya uchawi hivi hivi, nadra sana uwe masikini ukawa na roho nzuri na upendo wa kweli. Mungu atujaalie kuvuka huo mtihani.
 
We acha tu! Ufukara chanzo cha matatizo mengi sana. Utajikuta unaamini mambo ya uchawi hivi hivi, nadra sana uwe masikini ukawa na roho nzuri na upendo wa kweli. Mungu atujaalie kuvuka huo mtihani.
Naam

Mwalimu Nyerere alipatia alivyosema, maadui wa mwanadamu ni:-
1. Maradhi
2. Ujinga
3. Umasikini
Ukipambana na matatu haya sawasawa unapata amani ya kutosha moyoni. Kinyume chake ni mateso.
 
Ni maroho ya mafarakano utupwa kwenye ukoo hivyo upelekea ndugu kabisa kuwa PAKA na panya.
Kabisa mkuu unakuta kitu kidogo ambacho mngeweza kusuruhisha ila na likaisha lakini mwishowe watu wabaya wanalikuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…