Mtu anabebaje tuzo kwa kupiga ma playback?

Category ya live performance kama ipo afu akashinda anayepiga playback uje hapa kutuuliza ni kwanini!
 
Kama nyimbo ni nzuri je?Sababu mwanamuziki hapewi tuzo kwa kuimba nyimbo jukwaani anapewa kwa kutoa hit songs.
Wewe huna hata wimbo 1 kwenye Top 20 za clouds fm unategemea utashinda Kili music award kwa kutupigia live pale THAI VILLAGE kila Ijumaa?Utabakia kulalamika tuu Instagram.
 
Mkuu umefafanua kila kitu,kazi kwao wanaoweweseka na king wetu tangu atangaze "eti sasa playback basi" kama yeye ndo wa kwanza na hawajawahi wengine kupiga live band
 
Nadhani alitaka kukufahamisha kuwa wewe ni mpuuzi. Nimetafsiri tu sihusiki hata kidogo mkuu Lukelo Sakafu
 

asante kwa maelezo mazuri, mimi sio mtaalamu wa muziki lakini i can see it through live band ni ngumu, anyway lets see huwenda something could be done.
 
Category ya live performance kama ipo afu akashinda anayepiga playback uje hapa kutuuliza ni kwanini!
Ajabu ya majirani wa Mzee Mcharo ni kwamba, utafikiri huyo Kiba ndie msanii wa kwanza kufanya live performance huku wakijisahaulisha ukweli kwamba kuna wengine wanamiliki hadi bendi na wasanii! Anyway, si mbaya nao wakifurahi manake tangu King aibue furaha kwa mashabiki wake baada ya kushinda Nani Mkali wa Radio One, hajawafurahisha tena mashabiki hadi wakaamua ku-download picha za jumba la makumbusho ya kale na kuita mjengo wa King!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…