Mtu anakufa na vyake! Leo hii magari ya Kanumba hakuna hata moja hadi mama anapanda bajaji

Mtu anakufa na vyake! Leo hii magari ya Kanumba hakuna hata moja hadi mama anapanda bajaji

Kifo miaka kadhaa kesi bado tu? watu wakidharau Wasimamizi wa Sheria wanaitwa wachochezi... Kesi kama Hizo Nabii Suleiman alikuwa na Busara alizitolea Maamuzi kwa Dakika kadhaa tu Kwisha.

Bado kuna watu wanajiita Mawakili Wasomi
 
Mkuu hapo cha lulu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media ndio cha maana kuliko yote kwa lulu sema ndio hivyo ameshazoea maisha ya kujianika mitandaoni
Kabisa , kakimbilia media
 
1. Where there is evidence of a fight it is not safe to infer malice aforethought. In this regard, it will always be safe to ground a conviction of manslaughter instead of murder.
2. Death resulting from a fight- see also Juma G. Timbulu v R, Criminal Appeal No. 27 of 1991 and Moses Chichi v R, [1994] TLR 222 on the issue.-
Kwahiyo.lulu ni woman slaughter siyo man slougher
 
Mkuu hapo cha lulu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media ndio cha maana kuliko yote kwa lulu sema ndio hivyo ameshazoea maisha ya kujianika mitandaoni
Si mhaya [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Magari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Cc 2500 nayo ni kitu hiyo si Brevis kabisa?

Ila pole
 
Si mhaya [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huo ndio ujinga wake mama kanumba hana kitu mpaka magari kauza unafkili atafurahia maisha yake anayomuona nayo kwenye mitandao
 
Usimamizi mbovu wa Mali. Mama ametolewa huko Shinyanga vijijini alikuwa hata hajawahi kumiliki gari.
Halafu ghafla analetwa mjini na kukabidhiwa VX, Noah, Office na nyumba kubwa iliofika kwenye lenta usimamie. Lazima ufeli tu.
Facts
 
Kweli kiongozi...huyu dogo angetulia tu na maisha yake,mambo ya media na kujipatia umaarufu angetupilia mbali angalau hata kwa miaka 10....zen ndio tumuone tena kweny media,hii ingesaidia kwa famailia ya kanumba kusahau na hata kufutilia mbali kesi hiyo.....lkn kwa jinsi anavyokula bata na kila siku anasikika mitandaoni hii itamgharimu sana kushinda hyo kesi.
Aliyekuwa anampa Kibri naye alishatangulia mbele za haki John Komba (R.I.P.)

Sana sana Dr Cheni ndiyo yupo karibu naye ata kipindi yupo Segadance jamaa kamuibukia kwa sana tu kumsalimia.
 
Umesahau mkuu na rav 4 na harrier
Harrier nakumbuka lakini hiyo Rav4 Sina uhakika nayo. Mara nyingi Wasanii huwa wanaazima magari pia.
VX , Noah ya ofisi na hiyo Harrier itakuwa vilikuwa vyake. Na alishasema kwenye gazeti moja hv kuwa anamiliki hivyo.
 
Sijaponda, nimeongea hali halisi...kama kanumba alikua na VX na huyo mama hakuimudu iweje akose hata vits ambayo ataimudu...
Mkuu kumiliki gari sio tv home. Kama mtu hana hobby na magari bora kupanda bajaji. Magari ni kama majini. Kuna kipindi utakuta hela inatoka tu.... labda wacomment wenye magari tuone uzoefu wao. Ila maza anagetto..
 
Back
Top Bottom