Kabisa , kakimbilia mediaMkuu hapo cha lulu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media ndio cha maana kuliko yote kwa lulu sema ndio hivyo ameshazoea maisha ya kujianika mitandaoni
Kwahiyo.lulu ni woman slaughter siyo man slougher1. Where there is evidence of a fight it is not safe to infer malice aforethought. In this regard, it will always be safe to ground a conviction of manslaughter instead of murder.
2. Death resulting from a fight- see also Juma G. Timbulu v R, Criminal Appeal No. 27 of 1991 and Moses Chichi v R, [1994] TLR 222 on the issue.-
Si mhaya [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hapo cha lulu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media ndio cha maana kuliko yote kwa lulu sema ndio hivyo ameshazoea maisha ya kujianika mitandaoni
Cc 2500 nayo ni kitu hiyo si Brevis kabisa?Magari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Huo ndio ujinga wake mama kanumba hana kitu mpaka magari kauza unafkili atafurahia maisha yake anayomuona nayo kwenye mitandaoSi mhaya [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni ngumu kufurahi kwa kweli halafu mbona walishagombana mdaa na mama K lulu alimtukana vizuriHuo ndio ujinga wake mama kanumba hana kitu mpaka magari kauza unafkili atafurahia maisha yake anayomuona nayo kwenye mitandao
FactsUsimamizi mbovu wa Mali. Mama ametolewa huko Shinyanga vijijini alikuwa hata hajawahi kumiliki gari.
Halafu ghafla analetwa mjini na kukabidhiwa VX, Noah, Office na nyumba kubwa iliofika kwenye lenta usimamie. Lazima ufeli tu.
Waligombana nakumbuka mpaka kusema lulu hamsaidii kwa chochote yaan lulu hajui tu mambo ya mitandaoni angeachana nayo kabisa kama kupost apost mambo ya kazi zake za film tu huyu mama bado ana duku duku naeNi ngumu kufurahi kwa kweli halafu mbona walishagombana mdaa na mama K lulu alimtukana vizuri
Umesahau mkuu na rav 4 na harrierUsimamizi mbovu wa Mali. Mama ametolewa huko Shinyanga vijijini alikuwa hata hajawahi kumiliki gari.
Halafu ghafla analetwa mjini na kukabidhiwa VX, Noah, Office na nyumba kubwa iliofika kwenye lenta usimamie. Lazima ufeli tu.
Aliyekuwa anampa Kibri naye alishatangulia mbele za haki John Komba (R.I.P.)Kweli kiongozi...huyu dogo angetulia tu na maisha yake,mambo ya media na kujipatia umaarufu angetupilia mbali angalau hata kwa miaka 10....zen ndio tumuone tena kweny media,hii ingesaidia kwa famailia ya kanumba kusahau na hata kufutilia mbali kesi hiyo.....lkn kwa jinsi anavyokula bata na kila siku anasikika mitandaoni hii itamgharimu sana kushinda hyo kesi.
Harrier nakumbuka lakini hiyo Rav4 Sina uhakika nayo. Mara nyingi Wasanii huwa wanaazima magari pia.Umesahau mkuu na rav 4 na harrier
Mkuu kumiliki gari sio tv home. Kama mtu hana hobby na magari bora kupanda bajaji. Magari ni kama majini. Kuna kipindi utakuta hela inatoka tu.... labda wacomment wenye magari tuone uzoefu wao. Ila maza anagetto..Sijaponda, nimeongea hali halisi...kama kanumba alikua na VX na huyo mama hakuimudu iweje akose hata vits ambayo ataimudu...