Mtu anakufa na vyake! Leo hii magari ya Kanumba hakuna hata moja hadi mama anapanda bajaji

Duuh kwa lile tukio lilivotokea si rahis kusahau hata kama. Time heals aiseeh. Dogo kasekwa magereza. Katoka kasahau. Kajitanua kwenye social medias. Mmmh.
 
Watu kwa roho za umasikini.... huyo mama basi na aishi kimasikini mpaka atakapofariki... huyo lulu angekua kapuku angemganda hivyo??? Hakuua kwa kukusudia by the way hata lulu angeweza kufa vilevile kwenye huo ugomvi.
Mtu unasamehe na kumove on, apande bajaji, atembee.... ndugu zake should worry about that ebooooo.
 
Bongo movie imekufa kabisa wale mnaomdiss mond mjitathimini,,,, itakuwaje akirudi chini ya ardhi? Mungu ampeyee maisha marefu...
 
Halaf inaonesha huyu lulu hana mawasiliano mazuri na huyo mama,,ila chanzo cha bongo movie kufa ni Lulu kumuua Kanumba,,aisee kangefungwa hata miaka 20,roho zetu zisuuzike mashabiki wa Kanumba
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu hapo cha lulu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media ndio cha maana kuliko yote kwa lulu sema ndio hivyo ameshazoea maisha ya kujianika mitandaoni
Pasi na social media, Lulu anakufa njaa. Hivi ile shule yake ya Engineering alimaliza?
 
Familia ya Kanumba sidhani kama ina uwezo wa kuifuta hii kesi. Ninavyojua kesi za hivi na za ubakaji zinakuwa serikali vs mtuhumiwa..
Mashahidi ktk kesi hii ni wanafamilia wa Kanumba. What if Wanafamilia wangepanga wasitokee Mahakamani? Jamhuri wangeendeshaje hii kesi?
 
Kanumba alifanyiwa pathological examinations? Kuna vitu vingi from the scene Lulu akicheza vizuri anachomoka na hii case! It was night maybe Kanumba had alcohol overdose? Maybe drugs? Who knows so she can play smart and win
 
Hahahahaha umenikumbusha mbali. Kuna mshkaji alikuwa anaandika facts fresh Sasa kesi anaandika unreported. Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…