Mtu anakufa na vyake! Leo hii magari ya Kanumba hakuna hata moja hadi mama anapanda bajaji

Hiyo familia ni wivu tu, sasa ukimsamehe mtu ndo hutaki awe na furaha!? Awe masikini tu ili ujue hafaidi dunia??
 
Usitudanganye aisee kuna wasanii wana hela kama mondi,vitu anavyofanya vinaonekana waziwazi wataka utudanganye kitoto hapa? hebu fatilia mikataba yao vizuri
Hata kwa masanja pia jamaa ana mkwanja mrefu kinouma.....
 
Hawezi kuishi bila kiki na show off hata leo mahakamani kila mtu na lake
Mama lulu hana sauti kwa mwanawe ht kumshauri
Mama Lulu na utu uzima wote bado na mikorogo ngozi yake haijulikani rangi gani.
 
Nafikiri familia ya Kanumba ina weza kuiomba mahakama kuifutilia mbali hiyo kesi....
Kama unasema wanapoteza Muda kwenda kusikiliza kesi kwanini unashauri waende kuomba mahakama ifute kesi,??? Ina maana na waliofungwa kwa kuwaua wapenzi wao nao waachiwe?
 
Kama unasema wanapoteza Muda kwenda kusikiliza kesi kwanini unashauri waende kuomba mahakama ifute kesi,??? Ina maana na waliofungwa kwa kuwaua wapenzi wao nao waachiwe?
Hii kesi ilivyo tokea na kesi zinazo husu mapenzi,

Kama hii ni ya kuifutilia mbali, sioni mantiki yake na ushahidi hauwezi kukamilika leo wala kesho ni kupoteza tu mda.... Haina tofauti na ile ya Oscar Pistorious,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…