Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi waarabu ni lazima wawe Waislam?!Mara nyingi ni waarabu Wana hizo tabia kumkata mtu shingo na Bisu ni SAWA na kunywa chai kwao.
Huo sio msikiti ni tempo za wahindiNaona kuna kamchezo kanaendelea. Walianzia kanisani Geita, sasa wameingia msikitini Kahama. Kwa ninavyofahamu mmi, misikiti huwa hawakusanyi mapato makubwa sana ya sadaka kama huko makanisani. Kwahiyo sidhani kama motive ilikua kuiba sadaka!
Lakini pia, kama motive ingekua kuiba sadaka, basi kusingekua na haja ya kumchinja mlinzi. Maana kumchinja mtu inahitaji muda zaidi na ujasiri usio wa kawaida.
Nadhani kuna kitu kingine kabisa wanachokitarget hao wapuuzi. Walijua kuiba sadaka pekee haitatosha kulipa umaarufu tukio lao. Ndio maana wakaamua kufanya na hayo mauaji ya kikatili.
I hope watakamatwa na kuwajibishwa!
Hakuna uhusiano ila Kuna kitabu kinasema hivyo.Hivi waarabu ni lazima wawe Waislam?!
InawezekanaAu labda huyo mlinzi aliwatambua wauwaji!ila ngoja tuendelee kuunga dozi,hata kipindi kile mambo yalianza kama utani.
Kwenye temple lazima kutakuwa na cctvAu labda huyo mlinzi aliwatambua wauwaji!ila ngoja tuendelee kuunga dozi,hata kipindi kile mambo yalianza kama utani.
hata waafrika na wahindi na wazungu hiyo ni tabia ya watu tu. Kwani wahutu na watusi hawakuchinjana kinyama mwaka 1994?Mara nyingi ni waarabu Wana hizo tabia kumkata mtu shingo na Bisu ni SAWA na kunywa chai kwao.