Nijibu ndiyo kwa sababu nimeongea uso kwa uso na KENNEDY MGOYEZI,anayeishi mkoani Arusha;ambaye ni shuhuda mmojawapo baada ya kutazama video ya shuhuda za waliopona ukimwi kwa njia ya maombezi kwenye YOUTUBE;nilipo tembelea www.bishopzacharykakobe.org

kuamini suala la mtu binafsi,tena la kuchagua atakachoamini !!!
Itakuwa ni kweli tu!
Mbona hata wale waliokwenda Loliondo kwa Babu Mwaisapile wote wamepona kabisa, na ushuhuda wametoa!
Hata kwa Mzee wa Upako, Mama Lwakatare, Askofu Joshua..n.k kila siku wanatoa ushuhuda wa kupona!
Lakini cha ajabu ni kuongezeka kwa wagonjwa mahospitalini na kujaa sehemu za kuzikia (Makaburi yote ya mijini yako fuLL)