Mtu anaposema tuwaige simba ili tupate mafanikio, tunawaiga katika kipi?

Muige kufanikiwa ila njia ya kupita mtajua wenyewe. Kama unaona robo fainali CAF sio mafanikio huku unagala gala kushangilia ubingwa wa NBC inabidi upimwe akili.
 
Nimeelewa kwenye figisu za nje na ndani ya uwanja.. ila kuhusu usajili wa wachezaj kwasasa Simba na yanga hazitofautiani sana
 
Misimu minne ya caf Simba anatinga makundi anavuka mpaka robo,hata hilo tu amuwezi kuiga?
 
1. Al Ahly 🇪🇬
2. Wydad 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Raja 🇲🇦
5. RS Berkane 🇲🇦
6. Sundowns 🇿🇦
7. TP Mazembe 🇨🇩
8. Zamalek 🇪🇬
9. Pyramids 🇪🇬
10. Pirates 🇿🇦
11. Horoya 🇬🇳
12. Petro de Luanda 🇦🇴
13. Simba SC 🇹🇿
14. Es Setif 🇩🇿
15. JS Kabylie 🇩🇿
 
Huoni cha kuwaiga wakati umeshiriki CCL kwa nguvu zao? Ubingwa Mara 27 ambao haujawahi saidia chochote kwenye Soka la Tanzania. Acha kujisahaulisha, nawe uongeze point ili nchi iendelee kuwepo kwenye Ligi 12 bora Africa..
 
Simba haina uwekazaji zaidi ya kutapeliwa na Muddy
 
Huoni cha kuwaiga wakati umeshiriki CCL kwa nguvu zao? Ubingwa Mara 27 ambao haujawahi saidia chochote kwenye Soka la Tanzania. Acha kujisahaulisha, nawe uongeze point ili nchi iendelee kuwepo kwenye Ligi 12 bora Africa..
Naomba unieleze nini mmekifanya au uwekezaji gani au ni project ipi imewafikisha hapo? Hivyo tuu
 
Elezea mmewezaje kupata mafanikio hayo kwa maana ata kiuwekezaji mmezidiwa na timu nying Africa
 
Maana yake Yanga aige uchawi, fitina za kupuliza madawa kwenye vyumba vya timu pinzani, kuhonga marefa n.k ilo haliwezekani Yanga inaendeshwa kitaalamu. Msingi wa mafanikio ni uwekezaji wa kitaalamu, mpira hauna shortcut.
Mmezoea kuhonga marefa wa tz hao wa caf hawahongeki ndo mana round ya kwanza chali
 
Yale mazuri iga, mabaya waachie wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…