Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa kwenye figisu za nje na ndani ya uwanja.. ila kuhusu usajili wa wachezaj kwasasa Simba na yanga hazitofautiani sanaMkuu mbati nenga wanaposema yanga inatakiwa iwaige Simba Ni sahihi Na Wala c uongo Sasa tunakuja kwa mantiki ipi mechi za champions league zote lazima ujue kuzicheza unapokuwa ugenini ucheze VP Na nyumbani ucheze VP inatakiwa utumie uwanja wa nyumbani kuliko ugenini Na Hapo Ndo yanga inapofeli mfano yanga vs Rivers United unapoteza nyumbani unataka ukashinde ugenini kwa timu Kama yanga ni uongo inatakiwa ushinde nyumbani halaf ugenini ukaforce sare. Haya mashindano yanafigusu nyingi ili uwe bingwa inabid ucheze mechi nje Na ndani Pia wekeza kwa maana ya kununua wachezaji wenye quality Na Pia mfano zile hujuma alizofanyiwa Tp mazembe Na berkane Ile Ni hujuma Al ahyl Na raja Casablanca Ile Ni hujuma Sasa nyie Na vitu vingi Na Simba ama wachezaji wa Simba wanatakiwa wajifunze kwa wachezaji wengne mfano Goli la Orlando pirates wachezaji wa Simba walishindwa kumshawishi muamuzi kwa nguvu kwenda kwenye VAR Tshabalala ananyoosha mikono tu
Kwa kushinda mechi za kimataifa hasa nyumbani, na kumaliza top two katika group stage. Mengine yatajulikana baada ya hapoSasa swali langu ni hiv, tunawaiga simba katika kipi?
Kwanza niweke wazi, Mimi ni mwanachama wa yanga na ni mnazi pia wa klabu hii. Nimeamua kuandika uzi huu ili kupata mtazamo wa watu mbalimbali ambao wanauelewa mpana kuhusiana na maswala ya soka na uwekezaji.
Kumekuwa na maneno mengi kutoka kwa watu wa simba na baadhi ya watu wa yanga ambao huwa wanasema klabu yanga iwaige Simba ili iweze kupata mafanikio kimataifa.
Sasa swali langu ni hiv, tunawaiga simba katika kipi? Je ni uwekezaji? Na kama uwekezaji simba imefanya uwekezaji mkubwa kiasi gani na kwa namna gani ili tuwaige? Na kama kuna namna nyingine pia inabid ifafanuliwe vizur.
Naomba kuwasilisha
Naomba unieleze nini mmekifanya au uwekezaji gani au ni project ipi imewafikisha hapo? Hivyo tuuHuoni cha kuwaiga wakati umeshiriki CCL kwa nguvu zao? Ubingwa Mara 27 ambao haujawahi saidia chochote kwenye Soka la Tanzania. Acha kujisahaulisha, nawe uongeze point ili nchi iendelee kuwepo kwenye Ligi 12 bora Africa..
Elezea mmewezaje kupata mafanikio hayo kwa maana ata kiuwekezaji mmezidiwa na timu nying Africa1. Al Ahly [emoji1093]
2. Wydad [emoji1173]
3. Esperance [emoji1249]
4. Raja [emoji1173]
5. RS Berkane [emoji1173]
6. Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. Zamalek [emoji1093]
9. Pyramids [emoji1093]
10. Pirates [emoji1221]
11. Horoya [emoji1119]
12. Petro de Luanda [emoji1029]
13. Simba SC [emoji1241]
14. Es Setif [emoji1026]
15. JS Kabylie [emoji1026]
Mmezoea kuhonga marefa wa tz hao wa caf hawahongeki ndo mana round ya kwanza chaliMaana yake Yanga aige uchawi, fitina za kupuliza madawa kwenye vyumba vya timu pinzani, kuhonga marefa n.k ilo haliwezekani Yanga inaendeshwa kitaalamu. Msingi wa mafanikio ni uwekezaji wa kitaalamu, mpira hauna shortcut.
Kutuharibia viwanja kwa uchawi wa djumaMimi nadhani kuanzia msimu huu na misimu mingine ijayo, Simba ina cha kujifunza kwa Yanga!
Tumeroga juu mpaka chiniElezea mmewezaje kupata mafanikio hayo kwa maana ata kiuwekezaji mmezidiwa na timu nying Africa