Mtu anaweza kulaumiwa kimataifa, lakini kwa Katiba yetu ilivyo sasa, huhitaji sababu kumuondoa Rais ikulu

Mtu anaweza kulaumiwa kimataifa, lakini kwa Katiba yetu ilivyo sasa, huhitaji sababu kumuondoa Rais ikulu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Katiba yetu ni ya ki war lordism. Ni jungle justice. Natural justice. Kariba yetu imeandikwa na Charles Darwin. It is about survival of the fittest. The leader can be challenged at any time. Kama ambavyo recently ilikuwepo referendum ya Scotland kutaka kujitoa kwenye Union. Iliposhindwa Ile referendum yule kiongozi wa Scotland alijiuzulu.

Kwa hiyo tuelewe Katiba yetu imeandika Nini. Never mind what OUGHT to be written. What is written there right now? Usiulize INAPASWA kuandikwa vipi.

Unakumbuka Mwalimu Nyerere alikuwa anasema tena na tena Katibu Ina assume kiongozi ni mstaarabu. Lakini wakija wahuni Katiba hii itashindwa kabisa.
Kwa hiyo wewe umekuwa unalalamika kila siku kwamba umeonewa, akina MbowMw Mwingira, wanalalamika wanaonewa,Katina haifuatwi. Kumbe Katiba inasema "Mwenye nguvu mpishe"

Wale watu 'waovu' waliokuwa wanakuhangaisha walikuwa wanafuata Katiba.

Kwa hiyo what is the conclusion? Conclusion ni kwamba, I hope hakuna mtu atasema mimi nataka kuleta taharuki. Kwa sababu conclusion ni kwamba Rais Samia anapokaa Ikulu,I hope anayo get-away car.
I hope watu wataisoma Katiba kuona wajibu wao na sio kutaka mimi nitetee thesis yangu.

Mtu kama Sabaya anapaswa kusamehewa kama mkosaji wa kwanza. Kwa sababu alikuwa hajui kwamba kumbe DC anaweza kufungwa.

Mtu kama Askofu Mwingira anapaswa kusamehewa. Amedanganyika na propaganda za Chadema mpaka amefikiria Tundu Lissu atakuwa rais. Halafu alikuwa anasema tu Mungu kaumba Mbingu na dunia unataka kumhoji. Unataka kumhoji nini? Kwani wewe hujui Mungu kaumba Mbingu na dunia?

Mtu kama Mbowe Amana ghadhabu sana. Lakini siku zote hizi alizokaa mahabusu nadhani ghadhabu zake zimepona.

Nadhani hats Askari magereza wanaweza k7shuhudia kwamba toka alipofika pale hawamwona kuhamaki. Kwa hiyo anapaswa kusamehewa kwenda kula Sikukuu.

Hizi ndio salamu zangu za X mas na Mwaka Mpya kwa Watanzania.

You ask why I am in such a charitable, unrealistic mental disposition? Kwa sababu Mimi nafikiria kuhusu Umoja wa Kitaifa. Nafikiria kuhusu roho ya Taifa. (morality of each and every citizen).

Nafikiria kuhusu wajibu wetu kwa Lord Jesus ambaye ametufundisha ustaarabu. Kwamba hatutakiwi kudhuru waru na hizi frivolous cases.
 
Back
Top Bottom