Mtu anayeanza kufanya mazoezi ya 'Push ups' maumivu ya misuli yanaisha baada ya muda gani?

Mtu anayeanza kufanya mazoezi ya 'Push ups' maumivu ya misuli yanaisha baada ya muda gani?

Joined
Aug 23, 2014
Posts
12
Reaction score
5
Je mtu anayeanza mazoezi ya push up maumivu ya masosi za mikono yanaisha baada ya muda gani au ni endelevu?
 
Masosi ndo manini hayo? Log out endelea kupiga haizidi wiki
 
0P0A9624.jpg

Check na huyo jamaa ana uzoefu sana wa mambo ya pushap
 
Back
Top Bottom