Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kama angekuwa anafanya mzungu usingeuita ujinga,Elimu, ujinga, upumbavu, umaskini ndio shida yetu!
Poleni sana😆akimaliza huko tunduma akuje na huku dar tusha choka kupelekeshwa na nyeti zetu.
Shem wangu, Gmorning to You. I miss You.Poleni sana😆
Hahaakaguse za wanaccm waache kutuzalia madudunya
Mganga mfawidhi amepokea watu wawili wakidai kupoteza sehemu zao za siri,Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
Okay, amepokea watu wawili.Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
Hii ishu ilikuwa burundi then zambia saiv tunduma ,hawa watu ni kuuwa tu amna la ziadaKutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri.
Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.