Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
- Thread starter
-
- #21
Huoni hapo Mganga Mfawidhi kathibitishaKutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri.
Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
Acha vitisho NyokaaMwambie aje Arusha tumng'oe mbupu.
Afternoon to you shem darling! Weekend wapi hiyo?Shem wangu, Gmorning to You. I miss You.
Naunga mkono hoja🤣🤣🤣akaguse za wanaccm waache kutuzalia madudunya