GE2025 Mtu anayepambania nchi ikae kwenye mstari ndo mnataka kufukuza nchini ili wabaki wezi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Maajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi kadogo.

Eti ndo wanapambana kufukuza nchi kwa ajili ya maslahi ya kakikundi kadogo

Hiv hamnaga wazalendo huko kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama?
 
Yani nchi imegeuzwa mateka juu chini chini juu wenye haki na kusema kweli ndio wanauwawa ila wezi na cartels za killers na abductors ndio zinalindwa na majeshi yetu. Msiombee mungu Rwanda au Malawi wakatingisha kiberiti umma utakaa pembeni halafu vyombo vyetu mkihamsisha uzalendo mtaulizwa na watanzania wakati mnatuteka kutuuwa mlitegemea msaidiwe na nani? Basi waje wale waliofaidi keki wakati wengine tunatekwa wakati haya yanaulizwa kina ssh na ccm yake wako pembeni na wananchi wamewasusa jwtz think twice buddies.
 
Msiombee mungu Rwanda au Malawi wakatingisha kiberiti umma utakaa pembeni halafu vyombo vyetu mkihamsisha uzalendo mtaulizwa na watanzania wakati mnatuteka kutuuwa mlitegemea msaidiwe na nani? Basi waje wale waliofaidi keki wakati wengine tunatekwa wakati haya yanaulizwa kina ssh na ccm yake wako pembeni na wananchi wamewasusa jwtz think twice buddies.
Aisee
 
Jwtz wanakalia kimya umafia wa ccm na policcm ila siku mambo yakienda hovyo huko mipakani hamtaona uzalendo wa 1978 ya Nyerere mchelea mwana kulia hulia yeye. Mnaacha wasema kweli wanauwawa wanatekwa wanaohoji ukweli kina kitima na gwajima wanakuwa maadui siku gwaride likigeuka jwtz ccm itawaambia pambaneni wananchi watakaa kimyaaa ili waone umuhimu wa ccm vs watanzania wenye nchi yao.
 
Maajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi kadogo.

Eti ndo wanapambana kufukuza nchi kwa ajili ya maslahi ya kakikundi kadogo

Hiv hamnaga wazalendo huko kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama?

Yah tight. Nenda huko Bangladesh ya Ukweli uwaulize kwa nini Mama Abdul wao anaishi uhamishoni....!!?
 
Maajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi kadogo.

Eti ndo wanapambana kufukuza nchi kwa ajili ya maslahi ya kakikundi kadogo

Hiv hamnaga wazalendo huko kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama?
Dodoki kazini
 
Inasikitisha sana kwa kweli.
Wezi na mafisadi ndo wameshikilia mpini.

#KataaWahuni
Inasikitisha mno unamfukuza Lissu nchini kwa maslahi ya Mafisadi familia zisizopungua 50 ndo over wananchi milioni 65 Tumerogwa na nani?
 
Yani nchi imegeuzwa mateka juu chini chini juu wenye haki na kusema kweli ndio wanauwawa ila wezi na cartels za killers na abductors ndio zinalindwa na majeshi yetu. Msiombee mungu Rwanda au Malawi wakatingisha kiberiti umma utakaa pembeni halafu vyombo vyetu mkihamsisha uzalendo mtaulizwa na watanzania wakati mnatuteka kutuuwa mlitegemea msaidiwe na nani? Basi waje wale waliofaidi keki wakati wengine tunatekwa wakati haya yanaulizwa kina ssh na ccm yake wako pembeni na wananchi wamewasusa jwtz think twice buddies.
Unachokisema ni sawa watu wanasubiria mkombozi wao no matter anatokea wapi nchi gani Kagame sasa hivi anaweza kuwin bato mapema sana
 
Back
Top Bottom