AiseeMsiombee mungu Rwanda au Malawi wakatingisha kiberiti umma utakaa pembeni halafu vyombo vyetu mkihamsisha uzalendo mtaulizwa na watanzania wakati mnatuteka kutuuwa mlitegemea msaidiwe na nani? Basi waje wale waliofaidi keki wakati wengine tunatekwa wakati haya yanaulizwa kina ssh na ccm yake wako pembeni na wananchi wamewasusa jwtz think twice buddies.
Maajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi kadogo.
Eti ndo wanapambana kufukuza nchi kwa ajili ya maslahi ya kakikundi kadogo
Hiv hamnaga wazalendo huko kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama?
Dodoki kaziniMaajabu nchi ya Bangladesh mtu anayepambana kuweka nchi kwenye mstali kupigania mifumo nchi ikawa na mifumo imara iliyo huru wananchi wafaidi keki ya Taifa tofauti na sasa wanafaidi kakikundi kadogo.

Unachokisema ni sawa watu wanasubiria mkombozi wao no matter anatokea wapi nchi gani Kagame sasa hivi anaweza kuwin bato mapema sanaYani nchi imegeuzwa mateka juu chini chini juu wenye haki na kusema kweli ndio wanauwawa ila wezi na cartels za killers na abductors ndio zinalindwa na majeshi yetu. Msiombee mungu Rwanda au Malawi wakatingisha kiberiti umma utakaa pembeni halafu vyombo vyetu mkihamsisha uzalendo mtaulizwa na watanzania wakati mnatuteka kutuuwa mlitegemea msaidiwe na nani? Basi waje wale waliofaidi keki wakati wengine tunatekwa wakati haya yanaulizwa kina ssh na ccm yake wako pembeni na wananchi wamewasusa jwtz think twice buddies.