GE2025 Mtu anayepambania nchi ikae kwenye mstari ndo mnataka kufukuza nchini ili wabaki wezi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ajabu sana hii nchi, badala wampe mafunzo na fursa ili tujenge taifa wao ukishauri vitu vizuri kufanyika wanakusaka. Naliaga sana chumbani na njiani peke yangu
 
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana
Inasikitisha sana ukiuliza vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama vipo kwa ajili ya kulinda kikundi cha familia zisizopungua 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…