The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume.
Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi.
Cha kushangaza mtu anakuwa Raisi ndiyo anapata mda wa kunawili na kuwa mtananshati believe me huyo mtu hafanyi kazi yake kwa uamakini. Kwa ufupi matatizo ya Nchi siyo kipaumbele chake Kabisa ni bora liende tu.
Mimi sijataja jina la mtu