Mtu anayepata Uraisi afu anaanza kunawili Usitegemee jambo lolote la maana kwenye Taifa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume.


Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi.

Cha kushangaza mtu anakuwa Raisi ndiyo anapata mda wa kunawili na kuwa mtananshati believe me huyo mtu hafanyi kazi yake kwa uamakini. Kwa ufupi matatizo ya Nchi siyo kipaumbele chake Kabisa ni bora liende tu.

Mimi sijataja jina la mtu
 
Kwetu hapa watu wanalilia uongozi na hata kwenda kwa waganga wa kienyeji ilimradi wapate uongozi, ni kwa maslahi yao.
 
Kwahiyo unamaanisha muuza bandari zetu? Au
 
Ndiyo nini hiyo?
 
Kwetu hapa watu wanalilia uongozi na hata kwenda kwa waganga wa kienyeji ilimradi wapate uongozi, ni kwa maslahi yao.
Sure kipindi kile cha kikwete Mwigulu alipewa unaibu waziri wa fedha alifanya sherehe
 
Ndio ukweli hata akina Libibi nchini kwao wako hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…