Mtu anayependwa na kila mtu hafanikiwi

Mtu anayependwa na kila mtu hafanikiwi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndugu,

Usitakee kupendwa na kila mtu. Ndugu zakoo marafikii zakoo ukionaaa hawakupendwi ujue mafanikio yako yako karibu.

Wengi waliopendwa wakitaka kupendwa waliolazimishwa kupendwa na ndugu marafiki leo wanateseka.

Kwenye chuki ndio kuna upendoo. Yule anaekuchukia usimchukie mpende ndio anatengeneza maisha yako ya badae na mafanikio yako.

Nakutakia weekend njema ya upendo na mafanikio mpendwa.

Soma Pia: Wabongo ni Watu wa kukuombea Mabaya. Dua zao mbaya ndio mafanikio yako
 
Kuna mtu ametumia ID yako? Kwa mara ya Kwanza umeandika uzi wa maana.
 
Wakipata dharura unawapa pesa kiwepesi. Ukipata dharura wewe wanakuambia "dah! ,ungekuja Jana,nilikuwa na mzigo wa kutosha aisee".
 
Maiti
Mtoto mchanga
Kichaa
Ndio wanapendwa na kila mtu ukiona kila mtu anakupenda ujue hauna impact yoyote kwenye jamii.
 
Ndugu,

Usitakee kupendwa na kila mtu. Ndugu zakoo marafikii zakoo ukionaaa hawakupendwi ujue mafanikio yako yako karibu.

Wengi waliopendwa wakitaka kupendwa waliolazimishwa kupendwa na ndugu marafiki leo wanateseka.

Kwenye chuki ndio kuna upendoo. Yule anaekuchukia usimchukie mpende ndio anatengeneza maisha yako ya badae na mafanikio yako.

Nakutakia weekend njema ya upendo na mafanikio mpendwa
FB_IMG_1725077190784.jpg
 
Dunia hii hakuna haja ya kulilia kupendwa maana ukiwa na circle ya watu wengi ndio mabalaa na matatizo yataendelea kukusakama
 
Back
Top Bottom