Mtu anayetapeliwa mitandaoni hana akili timamu. Samahani kwa kutumia lugha ngumu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nimejaribu kutumia lugha nyepesi bado nimeona haileti maana kamili.

Mtu anayetapeliwa online huyo hana akili timamu

Mtu ambaye naweza kumuondoa hapa ni yule tu ambaye hajafika form 4. Huyu huenda akaingia kwenye mtego kwa kukosa taarífa kidogo.

Kama mtu kafika form 4 hata kama alipata division zero lakini lazima atoke na maarifa kidogo.

Hivi kujua kuwa BENKI au taasisi yoyote ya fedha hawatoi pesa kienyeji hilo nalo linahitaji shule?

Hivi kujua kuwa mabosi wa kampuni na taasisi za umma wana maslahi mazuri kiasi kwamba hawana haja rushwa ili wakuingize kazini hilo nalo linahitaji shule?

Hivi kujua kuwa hakuna ajira isiyohitaji vyeti kamili zama hizi hilo nalo linahitaji shule?

Hivi kujua kuwa kama kungekuwa na kampuni unaweza kuweka pesa na ikazaa mara mbili ndani ya wiki moja matajiri wasingehangahika na kuwekeza kwenye viwanda hilo nalo linahitaji shule?
 
Salamaleko salamaleko ustaaz 😁 😂
 
Back
Top Bottom