Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Kelele za nini unaonyesha wewe ndio mwanamke onyesha hata million Moja kwenye account Yako ya simu usipige kelele nyingi onyesha million 1 tu kama huna ujue we shoga unapiga kelele tu
 
Kabla hazijapanda bei zililipa
Kimsingi biashara ya Transport inatakiwa kulipa deni ndani ya miezi kumi tu.
 
Ni biashara kichaa kama hesabu ndio hizo kweli, ila wengine wananunua bajaji kwa sh milioni 7
 
Sijajua mtoa mada aliwaza kwa kutumia nini, lakini inaonesha wazi hajapata muda sahihi wa kulitafakari andiko lake.
 
Hizo ni biashara za watu wavivu wasiotaka kuwajibika, ukiwakuta huko makazini wanavyojisifu utaskia

" Nina bajaj yangu nimempa kijana kwa week napata 140k yangu nna wasiwasi gani "

[emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiondoa madalali, matapeli, Malaya, mafisadi na biashara ya unga biashara zingine zote huwa zina faida ndogo ndogo ambayo kwa macho ya kijima mtu hawezi kuiona faida.
 
Ooooh,always nunua kitu kinachopanda thamani sio kinachoshuka,hasa wafanya kazi kwakua huna chakupoteza zaidi ya kuwekeza,ila kuna wazee wa bet hua huwaambii kitu kuna miji TZ ina bajaji kuliko public transport
Na dar inaelekea huko...itakuwa kama miji ya india soon....

Labda atakapokuja mayor serious akazipiga marufuku kuingia mjini na kutumia route za daladala
 
Kama unaendesha wewe mwenyewe hiyo haina tatizo

Maana baadhi ya location Kama kariakoo utapata wastani wa 100K na hii inaweza Kupanda na kufika 150-180K siku na siku.

Ukitoa gharama za mafuta na service unaweza kusave hela nzuri ambayo sio chini ya 40-50K Kwa siku .


Ila ukisema unanunua hicho chombo unampatia MTU unabidi uwe na vyanzo vingine vya mapato tofauti na hapo utapata hasara .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…