tatizo ujuaji
1.bajaji ziko ngapi nchini,na bado watu wananunua
2.yaani wamiliki wote wa bajaji duniani ni wajinga isipokua nyie watu 150 humu jf mna akili??is it?
3.woga ndo umaskini,kama kina bakresa walianza na ice cream why usijue kua hela ya bajaji mfani 5m unaweza kufanyia biashara ingine huku bajaji ikizidi kukuingizia hela zingine???mawazo yenu ni kua hela mkipata za bajaji mnaweka kwenye kibuyu hamzalishi tena.mtoa mada ana hasira sana na wenye bajaji kuna kitu cha ziada sio bure
4.bajaji inakaa miaka mingapi?