Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Habari, Naitwa omary kassim naishi Dar, Buza ni dereva wa mtandaoni naendesha gari na Bajaji pia kwa sasa sina kazi.Kama kuna boss atahitaji tufanye kazi tuwasiliane 0654037276.Uwaminifu 100%
 
Habari, Naitwa omary kassim naishi Dar, Buza ni dereva wa mtandaoni naendesha gari na Bajaji pia kwa sasa sina kazi.Kama kuna boss atahitaji tufanye kazi tuwasiliane 0654037276.Uwaminifu 100%
Unaishi buza sehemu gani mkuu
 
tatizo ujuaji
1.bajaji ziko ngapi nchini,na bado watu wananunua
2.yaani wamiliki wote wa bajaji duniani ni wajinga isipokua nyie watu 150 humu jf mna akili??is it?
3.woga ndo umaskini,kama kina bakresa walianza na ice cream why usijue kua hela ya bajaji mfani 5m unaweza kufanyia biashara ingine huku bajaji ikizidi kukuingizia hela zingine???mawazo yenu ni kua hela mkipata za bajaji mnaweka kwenye kibuyu hamzalishi tena.mtoa mada ana hasira sana na wenye bajaji kuna kitu cha ziada sio bure
4.bajaji inakaa miaka mingapi?
 
Mabasi yote faida kubwa inapatikana kupitia parcels, anaweza asipakie abiria kujaza ila hakosi ya mafuta.
Parcels zinawabeba
Na anaenunua bus jipya na kumkabidhi mtu ambae atamletea kiasi fulani cha pesa kwa siku imekaaje? Angalia gharama ya bus na kiasi cha pesa kwa siku!
 
Back
Top Bottom