Mtu anayeutafuta uongozi kwa kutumia nguvu ya rushwa ya fedha, huyo hatokani na Mungu Yehova. Huyo baba yake ni shetani - ibilisi. Mkataeni

Mtu anayeutafuta uongozi kwa kutumia nguvu ya rushwa ya fedha, huyo hatokani na Mungu Yehova. Huyo baba yake ni shetani - ibilisi. Mkataeni

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267
Kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa, DSM;

Nimeshitushwa sana na X-Twit hii ya Askofu Mwamakula...

Je, kweli mambo yako hivi..?
1737437861251.png

MASWALI KADHAA YA KUJIULIZA:

1. Nani anafanya hivi miongoni mwa wagombea?

2. Kwanini anafanya hivi kujilazimisha kuwa kiongozi?

3. Huyu mtu anayetafuta uongozi kwa kununua ushawishi wa watu kwa fedha badala ya hoja anakuwa na nia na malengo gani..?

4. Na ninyi kwanini mnafanywa kama kuku au mbuzi wanauzwa sokoni..?

5. Nani kawaambia kuwa huu utaratibu wa rushwa una faida kwenu..?

6. Hivi kuna mtu gani anaweza kuwahonga fedha wajumbe hata 500 tu kisha hao wajumbe wakitoka hapo wanaweza kutumia fedha hizo za hongo kujenga hata nyumba ya vyumba viwili tu..?

7. Je, sio kwamba ikitokea anawapa pesa basi ni vijisenti vya kutumia hukohuko DSM na mkirudi majumbani kwenu mnakuwa kama mlivyokwenda, huku bia na chakula chote mmezikojoa na kuzinya hukohuko DSM..?

8. Basi chagueni utu na heshima yenu, au chagueni fedheha na aibu mtakayoishi nayo maisha yenu yote...

9. Muhimu na kubwa ni hili: Kiongozi anayetaka kuongoza wenzake kwa nguvu ya rushwa, huyo anakuwa hatatumwa na baba yetu Mungu wa Mbinguni. Huyo anakuwa ni wa shetani Ibilisi lile Joka la mdimu. Chagueni muwe wa Mungu au wa shetani...!!
 
Sasa kwa logic yake huyu Bwana kwanini tumsaidie muweza yote Muumba ? Si tuache afanye mpaka mwisho i.e. Yeye ndio achague anayeona anafaa.

Binafsi nadhani ya Kaisari tumuachie Kaisari na dunia ya leo kwenye Politics Money Talks.., na pande zote kama ni faulo wanazicheza katika aina tofauti tofauti; kwahio kama unatafuta malaika maybe you are at the wrong location hivyo fanya calibration ya GPS yako.
 
Tatizo la mtu aliyekosa uoga na aibu unakuwa kituko, na Mbowe ameishafikia huko. Kwake yeye zile sifa za kwamba yeye ndiye Alfa na Omega zimemkaa akilini kiasi haoni tofauti ya uenyekiti wa CHADEMA na yeye. Ashinde kwa hila aone CHADEMA inavyosambaratika
 
Back
Top Bottom