Mtu anayezungumza kiswahili mwenye lahaja ya kiunguja

Mtu anayezungumza kiswahili mwenye lahaja ya kiunguja

Zules

New Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Natafuta mzaliwa wa unguja anayezungumza kiswahili fasaha kwa ajili ya kurekod sauti analipwa vizuri ilimradi awe mzungumzaji mzuri mwenye uwezo wa kuongea dakika tano nonstop
 
eheee o'level nilitegemea kupata A ya kiswahili, kimasihara tu ikaja D. Nikasema poa tu sijala mzinga wa F.
 
Back
Top Bottom