Zules New Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Sep 18, 2021 #1 Natafuta mzaliwa wa unguja anayezungumza kiswahili fasaha kwa ajili ya kurekod sauti analipwa vizuri ilimradi awe mzungumzaji mzuri mwenye uwezo wa kuongea dakika tano nonstop
Natafuta mzaliwa wa unguja anayezungumza kiswahili fasaha kwa ajili ya kurekod sauti analipwa vizuri ilimradi awe mzungumzaji mzuri mwenye uwezo wa kuongea dakika tano nonstop
geofreyngaga JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 658 Reaction score 946 Sep 19, 2021 #2 eheee o'level nilitegemea kupata A ya kiswahili, kimasihara tu ikaja D. Nikasema poa tu sijala mzinga wa F.
eheee o'level nilitegemea kupata A ya kiswahili, kimasihara tu ikaja D. Nikasema poa tu sijala mzinga wa F.