Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
Ukikopa Madeni mkewe atakupa Moyo usije ukapata pressure akikuambia Tutavuka Hili.... Sasa Usioe Kama utakopeshwa na usiniambie haukopi maana Rais wako Enyewe anadaiwaNdugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Nakopa na nina madeni kibao, na kulipa nitalipa bila ya kuwa na mwanamke,Ukikopa Madeni mkewe atakupa Moyo usije ukapata pressure akikuambia Tutavuka Hili.... Sasa Usioe Kama utakopeshwa na usiniambie haukopi maana Rais wako Enyewe anadaiwa
Nakubali ila Mkula kuna Madeni yanatia Pressure MekuNakopa na nina madeni kibao, na kulipa nitalipa bila ya kuwa na mwanamke,
Nipe faida hasa ya kuoa kama ni hiyo ya kukopa kwangu sio tatzo kabisa
Ndoa ni kwa watu dhaifu tu.Just imagine huo utaratibu haupo, mtu anajipigia tu kila ampendae, mimba moja wanaume kumi, mtoto hajui baba ni yupi, mjomba ni yupi, shangazi ni yupi... Matokeo yake unakuja kumuweka dada yako, mama yako mdogo, pengine hata shangazi yako...
Ndoa iheshimiwe ila matendo mabovu yanayotokea ndani ya ndoa yaendelee kulaaniwa
Kukopa Huo ni Utani Point ni kwamba Mwanamke Ukiwa Nae anaitwa Mke faraja inayo kuwa hapo ndani kama upendo umezunguka huezi kupata ukiishi mwenyewe ila Tuu iwe wewe ndio chaguo lake na yeye awe chaguo lako Na Mwenyezi Mungu aipigie Nyundo Utaishi Kwa Furaha Kuliko sasaNakubali ila Mkula kuna Madeni yanatia Pressure Meku
Inategemeana umezaliwa mazingira Gani, ni ya kama ya kwako ama kwenye familia ya baba na mama, huwezi jua umuhimu Kama hujaingia.Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Ndoa ni kwa watu imara ambao wanaweza kuvumilia na kutatua kila aina ya changamoto ambayo itaenda kinyume na matarajio yake...Ndoa ni kwa watu dhaifu tu.
Watoto hata mimi naweza kupata nikitaka, nataka unambie kitu gani hasa nyie mlio kwenye ndoa mnakioata ambacho huku nje sisi ambao hatujaoa hatupati na hatuwezi kupata?Inategemeana umezaliwa mazingira Gani, ni ya kama ya kwako ama kwenye familia ya baba na mama, huwezi jua umuhimu Kama hujaingia.
Pia akili yako inakudanganya ivyo yaani unakufariji na kukupa sababu zote za kusapoti kile unachopenda ukione kwa Maisha yako. Yaani kile unachokiona ndicho unachokiona.
So na wewe dingi yako alijipigia tu ukapatikana ama ilikuwaje, always water will follow its course or channel, so keep it up don't try to pollute others.
Do you there's life perfection at marriage or staying at single?
In short bado unakuwa kadri miaka itakavyoazidi kwenda utazidi kujioma u mjinga. Naomba ufike miaka 55-65 urudi hapa uongee haya maneno, tuombeane, yaani hata mie mdogo ivi nakuzidi upepo. Am still 20s Nina watt nasomesha public schools wanakula na kulala na kuvaa , they're my close friends whom I can trust 100%
Kwanini wengi hamnipi jibu la moja kwa moja badala yake mnani p a maelezo mengi ya jumla?Kuoa ni utamaduni ambao upo tangu enzi na enzi, sasa kwakuwa ni jambo ambalo linakubalika na jamii kwa asilimia kubwa, basi wewe ndiye ulitakiwa ulete hoja za hasara za kuoa.
Huwenda kutokuona kwako faida za kuoa ni kutokana upeo mdogo ulionao au labda umelelewa katika familia ambayo haija staarabika.
Ukiacha heshima ya pesa, hekima, busara na cheo cha mtu... Ndoa inampa mtu heshima mbele za watu...Watoto hata mimi naweza kupata nikitaka, nataka unambie kitu gani hasa nyie mlio kwenye ndoa mnakioata ambacho huku nje sisi ambao hatujaoa hatupati na hatuwezi kupata?
Uzi ungeishia hapaKamuulize Mama yako..
Au ukiokotwa!?
mkuu samahani naomba kujua maana ya dikir cab canndoa si kwa kila mtu..