Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Kama unaona umewapita usioe mwayaNdugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Ok,tukiacha faida binafsi, ndoa inafaida kubwa kijamii.Kwanini wengi hamnipi jibu la moja kwa moja badala yake mnani p a maelezo mengi ya jumla?
Mi nataka faida ambayo nyie kwenye ndoa mnapata mie sijaoa sipati na sitopata.
Ndoa ni chanzo cha umaskini
Kama faida ndio hizo mi sioiOk,tukiacha faida binafsi, ndoa inafaida kubwa kijamii.
Ukiitazama ndoa kwa kuangalia faida binafsi ambazo zitakunufaisha wewe kama wewe basi huwezi kuona faida yake.
Kwa sababu mmomonyoko wa kimaadili uliopo kwenye jamii leo hii umemfanya mtu aweze kuzipata hata kama hana ndoa.
Mfano wa faida hizo ni kama, ngono na kupata watoto, na wakati mwingine kuhudumiwa kama anavyoweza kuhudumiwa mume.
Lakini katika upande wa kijamii, ili uweze kuzipata hizo faida binafsi hapo juu, ni lazima umpate mwanamke fulani, ambaye atakuwa ni binti wa mtu, dada wa mtu, shangazi wa mtu, mama wa mtu n.k
Hivi kuna mazazi anakubali umchukue binti yake kama tu chombo cha starehe?
Faida ni kwamba jamii na wazazi wenu wote wanajua kuwa fulani ndo analombana na mwanangu kihalali, yani mnafanya umalaya uliothibitishwa indirect.
HahahahahahahFaida ni kwamba jamii na wazazi wenu wote wanajua kuwa fulani ndo analombana na mwanangu kihalali, yani mnafanya umalaya uliothibitishwa indirect.
Umuhimu wa mke ni tofauti kwa kila mtu.Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kwanini sasa ni upumbavu?Zamani sawa ila kwa sasa ni upumbavu tu
Mbona kuna kesi za wengi kunyimwaZaidi ya kula papuchi ya burebure kila siku,nothing else.
Ndoa ni tendo linalopelekea uwepo wa familia na familia ndio chanzo Cha kwanza kabisa Cha jamii Bora bila ndoa hakuna familia Bora na bila familia Bora hakuna jamii iliyo Bora kama Mungu amekujalia nguvu na uwezo ni vema ukaoa ili ushiriki kujenga jamii Bora ππππ
Kama mbwa tu. Unazaa na yeyote.Just imagine huo utaratibu haupo, mtu anajipigia tu kila ampendae, mimba moja wanaume kumi, mtoto hajui baba ni yupi, mjomba ni yupi, shangazi ni yupi... Matokeo yake unakuja kumuweka dada yako, mama yako mdogo, pengine hata shangazi yako...
Ndoa iheshimiwe ila matendo mabovu yanayotokea ndani ya ndoa yaendelee kulaaniwa
Hao watakua misukuleMbona kuna kesi za wengi kunyimwa
Unaweza kudate na wanawake wenye mtazamo kama wako ,wapo wengi tu .Basi mi ni mmoja wao
Asante mme wangu.Faida ni kwamba jamii na wazazi wenu wote wanajua kuwa fulani ndo analombana na mwanangu kihalali, yani mnafanya umalaya uliothibitishwa indirect.
Babe nmemis kunyonya hilo tundu πAsante mme wangu.
Hata mama mkwe wangu anajua kama unanilomba sana.