Kwa hiyo wewe kuwa ma mwanamke ni mbususu tu?Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Dah ulijitesa sana mkuu, yani umri huo ndo nipo darasa la tanoNilioa nikiwa na 17yrs
Kujitesa ni wewe sio Mimi, mfano unamuona swala Tano anahangaika kwenda kuswali Kila wakati Ila kwake haangaiki Bali ww ndiye unayehangaika sio yeye. Mie nimeoa nikiwa shuleniDah ulijitesa sana mkuu, yani umri huo ndo nipo darasa la tano
Duh hongera mzee, unaweza ukawa baba mkwe🤣kabsaKujitesa ni wewe sio Mimi, mfano unamuona swala Tano anahangaika kwenda kuswali Kila wakati Ila kwake haangaiki Bali ww ndiye unayehangaika sio yeye. Mie nimeoa nikiwa shuleni
Si kwa namna hiyo moja kwa moja,Kwa hiyo faida za kuoa inategemea na jinsi ulivyozaliwa sio?
Ndoa kitu gani mzee? Mbona kuna sheria kali dhidi ya wahalifu na bado uhalifu hauishi?Sema ishu ya ndoa isingekuwepo hadi sasa dunia ingekuwa na kizazi cha ajabu sana
Lakini kila ukimaliza kugonoka UNAENDA kusumbua vi lab vya mtaaniniupima Ngoma na kunywa vidonge vya uongo nakweli.Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Nikuulize swaliKama faida ndio hizo mi sioi
Unaweza gonga au kugongwa bila kondom kutwa mara tatu?Ubinfsi umeingiaje hapo? We nieleze faida hasa ya mtu kuoa ambayo mtu ambae hajaoa hawezi ipata
Kuoa ni utumwa. Hakuna faida yoyote itokanayo na kuoa mkuu.Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Watakuwa wanaoshi kama wapenzi mkuu (no formal marriage). So, hakuna mwanaume yeyote mwenye mamlaka ya kumchukua mpenzi wa mtu.Nikuulize swali
Ikiwa unaishi kunyumba na mwanamke fulani, au ukawa na mahusiaanonae tu, hata kama hamuisihi pamoja.Ikiwa mwanaume mwingine atamtaka huyo mwanamke, na kuanza kumtongoza
Wewe utamzuia huyo mwanaume asiendelee kumtongoza huyo mwanamke, au utamzuia huyo mwanamke asiende kwa huyo mwanaume kama nani?
Kwa sababu kiuhalisia hakuna chochote kinachokufanya wewe uwe na mamlaka na huyo mwanamke, na kama ni hivyo basi yeyote anamamlakanae.
Ok,tukiacha faida binafsi, ndoa inafaida kubwa kijamii.
Ukiitazama ndoa kwa kuangalia faida binafsi ambazo zitakunufaisha wewe kama wewe basi huwezi kuona faida yake.
Kwa sababu mmomonyoko wa kimaadili uliopo kwenye jamii leo hii umemfanya mtu aweze kuzipata hata kama hana ndoa.
Mfano wa faida hizo ni kama, ngono na kupata watoto, na wakati mwingine kuhudumiwa kama anavyoweza kuhudumiwa mume.
Lakini katika upande wa kijamii, ili uweze kuzipata hizo faida binafsi hapo juu, ni lazima umpate mwanamke fulani, ambaye atakuwa ni binti wa mtu, dada wa mtu, shangazi wa mtu, mama wa mtu n.k
Hivi kuna mazazi anakubali umchukue binti yake kama tu chombo cha starehe?
Mpigie Baba au Mama yako na muulize atakueleza kwa ufasaha zaidi.Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kuoa sio lazima iwe kidini au kiserikali hivyo hauna sababu ya kuumiza kichwa we endelea tu na maisha yakoNdugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.