Mtu asiye na jinsia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”…

Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii inaitwa “Non-binary” yaani asiyetambulika kwa jinsia yoyote (Siyo KE wala ME)…

Mtu wa jamii hiyo anaweza pia kuzaliwa wa kiume lakini hataki kutambulishwa kuwa ni mwanaume… Na hataki pia kutambulika kuwa ni mwanamke… Hao ndio NON-BINARY…

Ni tofauti na TRANS 🏳️‍⚧️ au TRANSGENDER ⚧️ 🏳️‍⚧️… Huyu ni mtu ambaye utambulisho wake wa kijinsia (KE au ME), unatofautiana na jinsia ambayo alizaliwa nayo…

Huyu anaweza kuzaliwa mwanaume, lakini akaichukia jinsia yake na kuamua kujibadilisha JINSIA na kuwa mwanamke… Muonekano wake utakuwa wa kike lakini jinsia yake itabaki kuwa ya kiume, and vice versa…

Wote hao wapo katika jamii ya LGBTQ+ 🏳️‍🌈 ⚧️ 🏳️‍⚧️

Ameandika Babu Mzanzibarii ✍️
 
Duh Haya maswali yenu😀😀🙌🏿🙌🏿🏃🏿🤣
 
Mshana na wewe kumbe ni mzee wa kucopy and paste?
 
Akikutana na P. Diddy ataijua jinsia yake halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…