Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana.
Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema alitengeneza vituo kadhaa na kupumzika. Amesema kuendesha baiskeli ni hobby yake.
Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema alitengeneza vituo kadhaa na kupumzika. Amesema kuendesha baiskeli ni hobby yake.