Mtu bahili lazima atakuwa mchoyo tu!

Mtu bahili lazima atakuwa mchoyo tu!

Hakika ubahili na uchoyo ni directly proportional....
[emoji119][emoji119][emoji119]
Dah....sioni tatizo lolote hapo....tatizo Ni pale bahili anapokuwa mroho[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji41]
 
Ushanyimwa hela ya kusuka wewe....

kama sio hivyo basi umeomba hela ya kutengeneza kucha kakuchomolea....

Sio mchoyo mwenzako anabana matumizi .....
 
Mipango inaleta ubahili, roho mbaya inaleta uchoyo.
 
Back
Top Bottom