Mtu gani maarufu(Star) ushawahi fanyanae mapenzi ndotoni?

Nilivyokuwa dogo nilimkubali sana Tonny Braxton though sijawahi kumuota japo ingependeza sana.
Kweli kiongozi hizo wish huwa zinakuepo ila mara nyingi huwa hazitokei, kama mm kwa Alicia keys beki zilikua hazikabi kabisa na nilikua nawish awe muhusika katika ndoto zangu lakini wapiii
 
hahah sie wengine tulipita na kina chausiku wa kitaa mzee hata kuvuka kata ilikuwa tabu [emoji23][emoji23]
 
haijawahi nitokea ila nataka one day niruke na wowowo la minaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…