Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] lakini ndoto haifungishi mtu mkuu
Kweli kiongozi hizo wish huwa zinakuepo ila mara nyingi huwa hazitokei, kama mm kwa Alicia keys beki zilikua hazikabi kabisa na nilikua nawish awe muhusika katika ndoto zangu lakini wapiiiNilivyokuwa dogo nilimkubali sana Tonny Braxton though sijawahi kumuota japo ingependeza sana.
Acha tu aisee chaliiiHahah!! Kiongozi naona ulivuka boda kabisa? Noma sana mpaka nakuonea wivu