Mtu gani maarufu(Star) ushawahi fanyanae mapenzi ndotoni?

Mtu gani maarufu(Star) ushawahi fanyanae mapenzi ndotoni?

Mimi ndiye mtu maarufu ambaye wengine huota wakifanya mapenzi nami
Nikipita beach manukato harufu mpaka samaki wana ruka kama nyani,
Wakifikiri Tsunami, kumbe wako wa ubani.
Katika fani ya kughani, niko juu ka rubani
Nimeshika ramani, tangu zamani
Nikipita barabarani vibinti vyamaka "jamaniii"
Kwani? Aya kama kuhani
Natema vitakatifu utafikiri nimemeza Qurani
MpakaMama Fulani anasahau ujirani
Na mie walii itabidi kujihami
Masela wala majani, mpaka watoto wa ushuani
Wote wanitambua ....
Ukiisikia redioni utaandamana
Jay Z nisamehe maana nilivunja amri ya 6 na mkeo beyonce
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Daaaha hahaaha mjue mnazngua eeeh amna watu humu kumbee
Hahah
 
Back
Top Bottom