Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ebu njo pm uniunge kwanza ndio nikutumie hiyo hela nataka ya miezi3 ya tigo situmii halotel miePata unlimited data /data isiyo na ukomo tumia hata 10000GB kwa siku.
Mwezi 1=9,000
Miezi 3=17,000
Mtandao wowote.
Wasiliana nami 0621 072 026
Ukiunganishwa naomba uje unitezeMkuu ebu njo pm uniunge kwanza ndio nikutumie hiyo hela nataka ya miezi3 ya tigo situmii halotel mie
Ngoja akuje aniunge ndio nimpe hela yake asilete zile mambo za yule jamaa wa jukwaa la tec umtumie hela ndio akuunge akakimbia na baadhi ya hela za watuUkiunganishwa naomba uje uniteze
Nasikia watu wanasema mjini ni shule, naona mumekutana wenye shule wote sijui kitatokea nini....Ngoja akuje aniunge ndio nimpe hela yake asilete zile mambo za yule jamaa wa jukwaa la tec umtumie hela ndio akuunge akakimbia na baadhi ya hela za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia watu wanasema mjini ni shule, naona mumekutana wenye shule wote sijui kitatokea nini....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
HakikaUkifanikiwa utaleta mrejesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikimtaja hapa Nitafungwa maisha au kunyongwa
Rafiki huu uzi anayeufukuaga Mungu anamuona kwa kweli.Ukifanikiwa utaleta mrejesho
Hahahaaa. Haya bana rafiki.[emoji23][emoji23] unajua hii kazi juzi kaifaya Mwifwa ndio mana mimi nilikuambia uniache niwe na mimi namchafua huko majukwaani
Hahahaaaa. Vumilia tu rafiki.Usicheke rafiki naona aibu sana
[emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwalimu wangu wahisabati, dah nlimkunja mpaka mathe akawa anaitamka mashe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] tayariii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivyo pleasee