Anao anao nyingiii! Hivi pele angekabwa na mabeki wa aina ya Frank Libouf, Marceil Desaily, Nigal de Jong Javier Mascherano and a like angefunga migoli yote hayo? Pele mwenyewe hamfikii Maradona. Kwanza kule kushindwa tu kucheza ulaya kumesha mpunguzia credit. Ona. Ronaldo kwa mfano. Kacheza vilabu vikubwa ulaya. Sportin Lisbon, Man united, na sasa Real Madrid. Maradona yeye kasukuma ngozi pale Barcelona, napoli, na sevila. Messi ingawa anachezea barca, bd ni moja ya club kubwa barani ulaya na duniani kwa ujumla.