kwamba??Pele hawafikii hao watu.. Hata kidogo, usilinganishe wachezaji wa Sheria 3 na 17.
Pele sijamwona live ila clip zake nimeziona, ana mpira wa kawaida sana na mabeki na makipa wa wakati ule hawakua na viwango vyovyote, no offsides.. Saivi beki anakuchezea offside trick which means mshambuliaji anatumia akili mingi sana aweze kufunga. Akina Pele walikua wanajifungia tu kama rede
Mkuu hebu nenda you tube uone clips za pele kwanza,kisha ndo urudi ku commentAnao anao nyingiii! Hivi pele angekabwa na mabeki wa aina ya Frank Libouf, Marceil Desaily, Nigal de Jong Javier Mascherano and a like angefunga migoli yote hayo? Pele mwenyewe hamfikii Maradona. Kwanza kule kushindwa tu kucheza ulaya kumesha mpunguzia credit. Ona. Ronaldo kwa mfano. Kacheza vilabu vikubwa ulaya. Sportin Lisbon, Man united, na sasa Real Madrid. Maradona yeye kasukuma ngozi pale Barcelona, napoli, na sevila. Messi ingawa anachezea barca, bd ni moja ya club kubwa barani ulaya na duniani kwa ujumla.
kwamba??
Pele hamfikii Maradona ambae pia hawafikii Ronaldo na Messi
Mkuu unachekesha sana!hakuna anayemfikia pele kwa ku dribble,kufunga,chenga na pasi
Mkuu hebu nenda you tube uone clips za pele kwanza,kisha ndo urudi ku comment
ukitaka skills, pele hamfikii Dinho, Zizou, hata Jay jay Okocha. Sema kila zama na kitabu chake. Muhameid Ally, angepambana na Tyson asingetoka salama. Zama zake zilipita akaja Tyson. Kwangu Tyson mkali zaidi kuliko Ally.
Anao anao nyingiii! Hivi pele angekabwa na mabeki wa aina ya Frank Libouf, Marceil Desaily, Nigal de Jong Javier Mascherano and a like angefunga migoli yote hayo? Pele mwenyewe hamfikii Maradona. Kwanza kule kushindwa tu kucheza ulaya kumesha mpunguzia credit. Ona. Ronaldo kwa mfano. Kacheza vilabu vikubwa ulaya. Sportin Lisbon, Man united, na sasa Real Madrid. Maradona yeye kasukuma ngozi pale Barcelona, napoli, na sevila. Messi ingawa anachezea barca, bd ni moja ya club kubwa barani ulaya na duniani kwa ujumla.
hilo kosa unalomlaumia hapo juu ndio hilohilo unalomfanyia yeye. Naye mwache atoe fikra zake kwa kadri anavyojisikia, madhali havunji sheria.Mambo ya baba ake Edo yanakujaje hapa?
Unamuonya kama nani?
Unataka kila MTU afikiri sawa?
Kuna wengine wanáamini ngasa ni zaidi ya mmessi!
umejitahidi kueleza, lakini hata wewe uko biased, huwezi kusema ronaldo ni mbio tuu.
We jamaa sijui umeongea kitu gani!