Mtu huyu Eddo Kumwembe

nisichopenda kwa eddo...kila uchambuzi wake 88% ni kuponda..
 
Sawa umenena vema, ila siku nyingine jaribu kufupisha habari.
 
Labda alitaka kusema SM MASTER
 
hahaha....
 
hahaha........
 
hadithi nzur ingawaje umemponda sana penado ila swali langu ni hili hivi Unamzungumzia Pele ambaye enzi zake kulikuwa hakuna offside? sasa kwa nn asipige magoli 1000 kifupi pele kinachombeba world cup tofaut na hapo hamfikii messi sababu haiwezekani kipindi chake chote atwae vikome 22 na santos wakat mpaka sasa mess anakimbilia vikombe 25 na hapo bdo anacheza BINAFSI PELE NAMUONA WA KAWAIDA HATA CLIP ZAKE ZINAONESHA HILO
 
Duuuuu...mtachambua sana ila ninyi sijui wanandinga wenu watachambuliwa lini hata ligi ya Uturuki au Ugiriki
 
Ongea facts wewe,kama kulikuwa hakuna Offside ni Wachezaji/strikers wangapi wa kipindi cha Mfalme Pele waliofunga magoli hata kufikisha nusu tuu ya magoli yake au unataka kuniambia mabeki wote walikuwa wanmuogopa/wanamuachia pele ashinde kirahisi?
 
samahani kwa kukutoa nje ya mada ila.nina swali moja kwako kwani wewe mkuu unashabikia club gani ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…