Mtu kalogin kwa account yangu,huu ni uhuni


Mkuu mi naishi mwenyewe sasa huyu kaingiaje kwa account yangu,ndo inanishangaza
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi naishi mwenyewe sasa huyu kaingiaje kwa account yangu,ndo inanishangaza

Hivi Ousofia hayo malalamiko yako ni ya kweli au tunaendelea kuChitChat kama kawaida ya jukwaa?
Sielewi elewi ujue!
 
Mkuu mi naishi mwenyewe sasa huyu kaingiaje kwa account yangu,ndo inanishangaza

Kama sio Huccer basi utakua mwenyewe labd ulikua tingas!
Hebu try to reduce laga then uone kama miujiza itajirudia.
 

Huyo mtu anakufaham na unakula naye na unalala naye usi2xumbue bro.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Ousofia hayo malalamiko yako ni ya kweli au tunaendelea kuChitChat kama kawaida ya jukwaa?
Sielewi elewi ujue!

Nipo serious kweli,sijui why mtu anaingiaje kwenye privancy ya mwingine
 
Hii tabia ya kutumia maPC ya Internet cafe halafu muda unaisha kabla hamjalog out ndio utamu wake huo!!
Kwi kwi kwi! Pole Ousofia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…