Kwani aliweka kwakupenda? au niajali wahuni walimrusha mitandaoni?? Ninyi mnatakaga mtu ata ajiue pale anapokosea acheni unafiki!! Wewe hujawai kuchepuka au kupapasa mbeibe? Vipi MTU angekufotoa akakurusha ndiyo ingekuwa dhambi sana? Mazuri yako yote yangepoteza maana maisha yooote? Poor mind!!
NO MAN IS AN ANGEL WE ALL MAKE MISTAKES!!