Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Clinton na lewinsky kilichotokea,lakini mbona wamarekani wakaja msamehe

Ova
 
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

View attachment 1827155
Itakuwa aliyeingiza jina lake kwenye PDF ni mhuni mwenzake pia. Mama atengue haraka uteuzi huu wa hovyo
 
Mkuu Nyani Ngabu , kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tuu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

P
Hata mimi huwa sijali mtu kukosolewa lakini tena iwe kwa ustaarabu, au hivi siku hizi hilo neno limepotea?

P wewe utakumbuka enzi ya Nyerere alikuwepo Mheshimiwa Balozi mmoja alikuwa Uingereza (sina uhakika), alikunywa kwenye shughuli fulani hivi na kama nakumbuka vizuri alifanya kitu ambacho hakikuwa sahihi kwa ofisa mwanamke mmoja wa Ubalozi. Enzi zile zilikuwa za picha tu na watu walimpenyezea Nyerere. Haikuchukuwa muda alirejeshwa nyumbani.

Huyo Mzee mpaka leo yupo tu.
 
Tunaongelea Maadili tuoneshe video ya kipuuzi ya JPM kama hile ya msando ( Jiwe alikua Jiwe kweli hakupenda upuuzi na ujinga ujinga kwa vitendo , I truly miss him ) hata kama kuna vitu alifanya vya kimsando alifanya behind the scene
"Serikali haijaleta tetemeko,kwa nini kila balaa ni Kagera tu: ukimwi,katelero,...!" Ni kauli zinazostahili kutolewa na kiongozi wa aina /hadhi ya Rais?
Si lazima kuweka clip/video.Wengi tulisikia na kumwelewa sawa sawa.
 
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

View attachment 1827155
Even Bill Clinton fingered Monica
 
Mkoa mkubwa na maarufu East Africa, Dar es salaam ulisha wahi kuongozwa na mtu ambae ali forge vyeti (nyaraka za serikali) ushahidi uliwekwa wazi vipofu kwa mara ya kwanza waliona na viziwi pia waliskia forgery aliyo ifanya RC yule.

Kila mtu alijioena jinsi alivyo wanyanyasa raia wa mkoa wa Dar es salaam na alienda mbali zaidi mpaka kufikia kuteka nakuua watu mpaka kupelekea Taifa kubwa na lenye nguvu duniani USA, kumzuia kuingia nchini mwao kutoka na matendo yakikatili aliyo yafanya wenyewe walidai wana ushaidi wa kutosha mpaka kufikia maamuzi hayo.

Yote hayo yaliyo fanywa na huyo RC aliepita wa Dar es salaam sjawahi kuona ukiazisha uzi wa kumtaka Rais wakipindi kile atengue uteuzi wa RC yule. Leo msando kwa kaskendo kamoja ka kumnawa mtu tuuu hutaki aongoze hata wilaya??? Ukizingatia alisha omba radhi kwa alicho kifanya, labda kama una sababu nyingine ila hiyo pekeake haitoshi kumfanya mtu asitumikie wanachi ukizingatia anasifa zote zinazo stahiki.

Kama haitoshi CCM ilimpitisha Gwajima kugombea ubunge na mpaka sasa ni mbunge wa kawe lakini kila mtu anajua kua Gwajima aliji record akifanya mapenzi na sextape kila mtu kaiona including wewe mwenye roho mbaya mleta huu uzi yote hayo huku yaona unayaona ya msando ambae aliomba msamaha kupitia official account yke ya Instagram na kujivua baadhi ya vyeo alivyo kua navyo katika chama chake cha zamani. Gwajima hakuwahi kuomba msamaha na kila mtu anjua aliji record video akiwa anafanya ngono na bado mwenyekiti wa CCM kupitia kamati kuu ali mteua akagombee ubunge hapo mbona hau hoji background check????

NB: acha roho mbaya hakuna alie kamalika.

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Ndio Tanzania hiyo. Tuliona video ya Gwajima akila raha, leo ni Muheshimiwa mbunge, anawakilisha jimbo la Kawe, na Bungeni anaingia.[emoji134]
 
...Msando.. mwenyewe ni kama ana wasi wasi hivi ..nillimuona juzi kwenye lile tukio la ajali Wilayani Kwake anaunga unga maneno tu kuelezea ni kipi kifanyike!??
 
Kwako aliyofanya yalikuwa sahihi? Mbona mnampenda sana huyodada au ni rolimodo wenu? Ya Msando nisawa kupapasa mbeibe kunashida gani sasa??
Upuuzi mtupu!Kama unaona alichofanya msando ni sawa basi una matatizo ya akili!
Fanya wewe hivyo halafu uweke kwenye mitandao rafiki zako waone na dada zako waone!
 
Back
Top Bottom