Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Hakuna malaika chini ya jua, wewe mwenyewe unayo madhambi yako mengi tu ambayo ni siri yako. Sisi wakatoliki hatuanzi kwanza ibada mpaka tupige magoti ili tutubu madhambi yetu.
Nani msafi,naona watu wanamlaumu dc kwa kitendo alichofanya wakati hata humu kuna watu washapiga sana hivyo na bado wanafanya
Kila mtu angefungiwa body cam tungeona vioja sana

Ova
 
Hahahah wazee wa kusagia kunguni😂😂😂 mmemkazia mpaka muende nae kuzimu kudadadeki! Ubaya ni kuwa hawezi tenguliwa this shit is for the past! Ingekuwa imetokea week iliyopita sawa na uzuri mama mtu wa mitandao atakuwa alishaionaga hio clip kwa hio hamna geni!
History counts a lot
 
Kweni Juliana Shonza alipewa ubunge na unaibu waziri ktk enzi za nani?
Muda huohuo, kwani ndio ulikua mtindo unga juhudi upate cheo. Sema Kwa nasari ilichukua muda sababu, nasari aliona acheze movie ili kujibaraguza kuondoa aibu
 
Ila Albert Msando CV yake ni chafu sana licha ya kuwa anatokea katika field (Law Field) yenye ethics & culture. Ni mwanasheria mzuri, mtu mzima ila ana akili za kitoto sana.

Skendo zake za mahawara na ulevi uliopindukia hazina idadi, sidhani kama kuna mwanasheria anaemfikia kwa skendo.
Kama ya nani? LGBT ch/man au vipi? Au ya MwanyeKiti wetu..
 
If the so called "jiwe" became a president,why not anybody like msando? Anybody can be anyone ,unless we change! Allow the "jiwe" become no.1 was the greatest crime to be committed in Tz!

Tunaongelea Maadili tuoneshe video ya kipuuzi ya JPM kama hile ya msando ( Jiwe alikua Jiwe kweli hakupenda upuuzi na ujinga ujinga kwa vitendo , I truly miss him ) hata kama kuna vitu alifanya vya kimsando alifanya behind the scene
 
Touché!
 
Acha uchawi hii kitu sote tunafanya na tunapenda sema hatuvujishiwi maana pia hatuna umaarufu. Kunashida gani hapo acha roho mbaya wewe. Kwasababu ya hicho kivideo ndio hana haki kupewa kazi yoyote? Mbona Clinton alikula papa live ofisini tens akiwa madarakani na bado akapewa urais? Poor gossip mind!
Hata amber rutty anaweza kuwa dc sasa
 
Hizo zinakuwa ni burudani baada ya kazi..

Tatizo nini hapo, kufanya hayo anayoyafanya faraghani.....kosa kama video kavujisha yeye ila kama video imevujishwa na wahuni wengine basi hilo ndio kosa.... hapo yupo faragha na mpenzi wake kama wewe unavyokuwa faragha na mpenzi wako mkifanya yenu....
Hata amber rutty anaweza kuwa dc kama video hakuvujisha yeye!
 
Kila mtu ana upande wake wa siri ambao jamii hauujui/hatuujui. Hyo video haimwondolei mtu kuwa mchapakazi, mzalendo n.k wakati sisi tunamuona mchafu/hafai kupitia video, mama kamuona mchapakazi, mwadilifu, anaweza kuongoza wilaya ndio maana amempa nafasi.

Btw hakuna mkamilifu chini ya jua, wewe mwenyewe unamabo yako yakiwekwa hadharani dunia itasimama!!
So hata amber rutty akilamba shavu la udc sawa tu ilimradi ni mchapakazi na mzalendo!
 
Tunaongelea Maadili tuoneshe video ya kipuuzi ya JPM kama hile ya msando ( Jiwe alikua Jiwe kweli hakupenda upuuzi na ujinga ujinga kwa vitendo , I truly miss him ) hata kama kuna vitu alifanya vya kimsando alifanya behind the scene
Alimteua Jokate licha ya picha chafu za Jojo zilizozagaa mitandaoni!
 
Hahahah wazee wa kusagia kunguni[emoji23][emoji23][emoji23] mmemkazia mpaka muende nae kuzimu kudadadeki! Ubaya ni kuwa hawezi tenguliwa this shit is for the past! Ingekuwa imetokea week iliyopita sawa na uzuri mama mtu wa mitandao atakuwa alishaionaga hio clip kwa hio hamna geni!
Naye ameitazama nakuona hamna tatizo ilikuwa burudani.
 
Back
Top Bottom