GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Eeeh si kapewa ukatibu mkuu wa UVCCM akaripoti Dodoma sasa sio irambaHahahah Kihongosi kapangiwa majukumu mengine sio 😂😂😂
Ila huyo mwingine sasa atasugua benchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh si kapewa ukatibu mkuu wa UVCCM akaripoti Dodoma sasa sio irambaHahahah Kihongosi kapangiwa majukumu mengine sio 😂😂😂
Afadhali nilijua hana kazi tenaEeeh si kapewa ukatibu mkuu wa UVCCM akaripoti Dodoma sasa sio iramba
Ila huyo mwingine sasa atasugua benchi
Aaah mama mjanja kawatoa vyeo vyote wale kina heri James,Mangwala na yule Tabia aliyechaguliwa unaibu waziri ZenjiAfadhali nilijua hana kazi tena
ahaah,umenichekesha!!!Mambo gani niliyo nayo na mtu anayeweza kupeperushwa na upepo
Sijaelewa, asiyefunzwa na Mama ye hufunnzwa na ulimwengu, ndio kusema Msando hakufunzwa na ***** sasa akafunzwe na ofisi nyeti ya DC?Kunamtu ndani nimegundua shida yake si Albert na video yake,
Hapa anamjaribu Raisi, Nitashangaa nikiona katenguliwa.
Na anajambo lake anareserch na sisi wachangiaji ndo sample size yake.
I hope mama atashauriwa vizuri.
Pamoja na yote, nadhani huyu Albert atakua mkuu wa wilaya bora Sana kwa kua Asie funzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Ni imani yangu kua kwa jinsi alivyo nangwa na wanajamii atakua makini Sana.
Kwakweli inasikitisha mkuu ukiacha.ile video jamaa ni mchafu kupitiliza ukiwa bar za Arusha ndio utafahamu...Hata background checks hawafanyi?
Mtu kama Msando anapasije background check huyu?
Mkuu kama ndio hivyo basi hakuna haja ya background checks. Maana kila m2 atasema ana deserve chance ya pili. Labda ndio somo kwa hili jambo.It is human to err
Msando alikosea zamani akaomba radhi, maisha lazima yaendelee. Sasa kama mtu ukifanya makosa hudiserve chance ya pili basi hakuna ambaye angesimama maana sisi sote tunafanya makosa na tuna potential ya kufanya makosa
Yes huyu zoa zoa Hadi kina gigy sidhani ka ni mzima wa afya yake, acha akawatie madole wanawake wa Morogoro huu uteuzi umezalilisha Sana Morogoro. Bora hivi vyeo vifutwe wananchi mnapelekwa watu wasio na maadili na waovu design ya sabaya bila kutaka aisee.ahaah,umenichekesha!!!
Kwamba weight yake ni ndogo sana au
Too wrongs don't make it rightAcha uchawi hii kitu sote tunafanya na tunapenda sema hatuvujishiwi maana pia hatuna umaarufu. Kunashida gani hapo acha roho mbaya wewe. Kwasababu ya hicho kivideo ndio hana haki kupewa kazi yoyote? Mbona Clinton alikula papa live ofisini tens akiwa madarakani na bado akapewa urais? Poor gossip mind!
Radhi haimfanyi.mtu kuwa credibleKwanza nakumbuka alishatoa maelezo yakuomba radhi juu ya hilo kipindi kilekile,
Afadhali ya Msando kuliko Majambazi Kama Sabaya na Bashite......
If the so called "jiwe" became a president,why not anybody like msando? Anybody can be anyone ,unless we change! Allow the "jiwe" become no.1 was the greatest crime to be committed in Tz!Ni Albert Msando.
Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?
What was he doing there? Fingering her?
What the hell is wrong with you Samia?
Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?
Shameful! Repulsive! Disgusting!
And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?
Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?
=====
Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.
Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
Hakuna malaika chini ya jua, wewe mwenyewe unayo madhambi yako mengi tu ambayo ni siri yako. Sisi wakatoliki hatuanzi kwanza ibada mpaka tupige magoti ili tutubu madhambi yetu.Radhi haimfanyi.mtu kuwa credible
Nilichotaka kumanisha pa1 kwake nakuomba radhi lkn lile ni doa kwake tayari hvyo hakupaswa kupata nafasi nyeti kama hiyoHakuna malaika chini ya jua, wewe mwenyewe unayo madhambi yako mengi tu ambayo ni siri yako. Sisi wakatoliki hatuanzi kwanza ibada mpaka tupige magoti ili tutubu madhambi yetu.
Madoa ya Msando ni madogo mkuu. Trump alijisifu kupeleka vidole vyake sehemu za siri za mwanamke fulani wakati akiongea na mmoja wa wajukuu wa George Bush, na rekodi zipo mitandaoni ambapo sauti yake inasikika ikiongea.Nilichotaka kumanisha pa1 kwake nakuomba radhi lkn lile ni doa kwake tayari hvyo hakupaswa kupata nafasi nyeti kama hiyo
Unajua hii hali ilianzishwa na mwendazake ya kuchagua bila kuangalia historia ya MTU.
Zamani watu waliokua wanapewa nafasi hizi ni watu waliokua na heshima zao na umri wenyekueleweka lkn kwasasa zimekua ni nafasi za fadhira