Mtu kama huyu hakosi poda na makorokoro ya kujirembea kama ya wadada

Mtu kama huyu hakosi poda na makorokoro ya kujirembea kama ya wadada

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Lengo la mtoto wa kiume kujilemba kama mdada ni nini sasa ni kulazimisha u-handsome au ni nini au ndio dalili za upinde
Screenshot_20240611-092157_YouTube.jpg
 
mkuu watu kama hawa ukipata wasaa waombee sana, wanapitia magumu wanayoyataka na wasiyoyataka... mbaya zaidi there is no reverse gear ni mbele tuu.
 
Back
Top Bottom