Mtu kama huyu nimchukulie hatua gani kisheria?

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,079
Reaction score
469
Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana.

Lakini mwezi Disemba 2025 alipiga makenji nyumba yangu, akapima na kunidanganya kwamba zinahitajika bati za milion 15 kumbe kiuhalisia zilitakiwa bati za milion 10. Kwa hiyo milion 5 alinipiga.

Pamoja na kunipiga MilionI 5 nzima hadi sasa ameleta bati za milion 4 tu kati ya milion 15 aliyopewa. Cha kushangaza simu zangu hapokei, meseji hajibu, akijibu anatoa ahadi za uongo tu, muda mwingi anakuwa ameniblock simupati kwa simu.

Naomba ushauri, mtu kama huyu nimchukulie hatua gani kisheria?
 
Hakikisha una ushahidi wote wa kimaandishi (risiti, jumbe za WhatsApp, au miamala ya benki/simu) ulizomtumia pesa.

Then kafungue jalada la malalamiko ili wamsake, wamkamate na kumfungulia mashtaka ya jinai.
 
Malizana naye kihuni, nenda kwenye kampuni ya simu anayo tumia toa kidogo wata mtrack.

kisha wasake wazee wa kazi, wata malizana nae kihuni arudishe hela na hasara..

Halafu unampaje hela ya bati fundi, badala ya kununua mwenyewe?!
Hawa ni wale wanatajirikia kwenye ajira au hela za urithi, they do not know how the street works ndo maana hadi kamuamini fundi kwa 15m, kwanza fundi yyt yule hapaswi kuaminiwa unless liwe ni kampuni

Mimi huyo namalizana nae taaaaaratibu na nitahakikisha anasimulia hadi vijukuuu vyake.

Kuna mmoja alikimbia na advance tu ya labour charge, masikini yule dogo hadi leo akiniona anahisi nina undugu na shetani, namna nlivodeal nae mwisho akaniuliza "Samahani kaka, hv ww ni kabila gani"
 
nashukuru kwa ushauri
 
Hawa ni wale wanatajirikia kwenye ajira au hela za urithi, they do not know how the street works ndo maana hadi kamuaminu fundi kwa 15m, kwanza fundi yyt yule hapaswi kuaminiwa unless liwe ni kampuni

Mimi huyo namalizana nae taaaaaratibu na nitahakikisha anasimulia hadi vijukuuu vyake.

Kuna mmoja alikimbia na advance tu ya labour charge, masikini yule dogo hadi leo akiniona anahisi nina undugu na shetani, namna nlivodeal nae mwisho akaniuliza "Samahani kaka, hv ww ni kabila gani"
nipe mbinu mkuu
 
Malizana naye kihuni, nenda kwenye kampuni ya simu anayo tumia toa kidogo wata mtrack.

kisha wasake wazee wa kazi, wata malizana nae kihuni arudishe hela na hasara..

Halafu unampaje hela ya bati fundi, badala ya kununua mwenyewe?!
Kitu nilifundishwa ni kutokufanya malipo kienyeji kama hivi,

Kama ni malipo mzigo utalipiwa na kuhakikisha umeletwa then anayepaswa kushughulikia ndiyo atafanyia kazi akienda kinyume na alivyo kabidhiwa hapo watashikana sasa

Ila kumkambidhi mtu cash Tena nyingi hivyo, mtu ataenda solve vipengele vyake akitegemea maybe Kuna hela anaitegemea akufidie naye anapangwa

Ajue ishu za payment tuu afanye baina ya mnunuzi na muuzaji huyo fundi akabidhiwe tuu kazi ya kupaua,

Ingawa fundi naye kakosa Uaminifu na ndiyo atakosa kila kitu maake hii kesi tyr
 
Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana.

Lakini mwezi Disemba 2025 alipiga makenji nyumba yangu, akapima na kunidanganya kwamba zinahitajika bati za milion 15 kumbe kiuhalisia zilitakiwa bati za milion 10. Kwa hiyo milion 5 alinipiga.

Pamoja na kunipiga MilionI 5 nzima hadi sasa ameleta bati za milion 4 tu kati ya milion 15 aliyopewa. Cha kushangaza simu zangu hapokei, meseji hajibu, akijibu anatoa ahadi za uongo tu, muda mwingi anakuwa ameniblock simupati kwa simu.

Naomba ushauri, mtu kama huyu nimchukulie hatua gani kisheria?
Umekuwa nae ukifanya kazi miaka mingi na alikuwa muaminifu..

Huenda ana matatizo, ilq kashindwa jieleza, usifute wena na uaminifu wake wa miaka mingi kwa hapo alipo jichanganya maisha ya mambo mengi sana
 
Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana.

Lakini mwezi Disemba 2025 alipiga makenji nyumba yangu, akapima na kunidanganya kwamba zinahitajika bati za milion 15 kumbe kiuhalisia zilitakiwa bati za milion 10. Kwa hiyo milion 5 alinipiga.

Pamoja na kunipiga MilionI 5 nzima hadi sasa ameleta bati za milion 4 tu kati ya milion 15 aliyopewa. Cha kushangaza simu zangu hapokei, meseji hajibu, akijibu anatoa ahadi za uongo tu, muda mwingi anakuwa ameniblock simupati kwa simu.

Naomba ushauri, mtu kama huyu nimchukulie hatua gani kisheria?
Siku hizi JF imekuwa ya watu kuleta malalamiko ambayo kwa kweli hayatakiwi kuletwa humu!!!
 
Back
Top Bottom