Bwashe sio kila anayeuwa ni katili ila ukatili unatengenezwa na wauliwao wenyeweNenda kwenye vyombo ya kisheria ila ikitokea mahakama imekubali akulipe buku kila baada ya mwezi usishngae ni kutokana na uwezo wake mkuu
Hawa ni wale wanatajirikia kwenye ajira au hela za urithi, they do not know how the street works ndo maana hadi kamuamini fundi kwa 15m, kwanza fundi yyt yule hapaswi kuaminiwa unless liwe ni kampuniMalizana naye kihuni, nenda kwenye kampuni ya simu anayo tumia toa kidogo wata mtrack.
kisha wasake wazee wa kazi, wata malizana nae kihuni arudishe hela na hasara..
Halafu unampaje hela ya bati fundi, badala ya kununua mwenyewe?!
nipe mbinu mkuuHawa ni wale wanatajirikia kwenye ajira au hela za urithi, they do not know how the street works ndo maana hadi kamuaminu fundi kwa 15m, kwanza fundi yyt yule hapaswi kuaminiwa unless liwe ni kampuni
Mimi huyo namalizana nae taaaaaratibu na nitahakikisha anasimulia hadi vijukuuu vyake.
Kuna mmoja alikimbia na advance tu ya labour charge, masikini yule dogo hadi leo akiniona anahisi nina undugu na shetani, namna nlivodeal nae mwisho akaniuliza "Samahani kaka, hv ww ni kabila gani"
Mkuu mbinu zangu sijui kama utaziweza, mimi huwa sikimbilii sheria za serikali, huwa nina sheria zangu na mahakama yangu kwa mambo kama hayo.nipe mbinu mkuu
Kitu nilifundishwa ni kutokufanya malipo kienyeji kama hivi,Malizana naye kihuni, nenda kwenye kampuni ya simu anayo tumia toa kidogo wata mtrack.
kisha wasake wazee wa kazi, wata malizana nae kihuni arudishe hela na hasara..
Halafu unampaje hela ya bati fundi, badala ya kununua mwenyewe?!
Umekuwa nae ukifanya kazi miaka mingi na alikuwa muaminifu..Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana.
Lakini mwezi Disemba 2025 alipiga makenji nyumba yangu, akapima na kunidanganya kwamba zinahitajika bati za milion 15 kumbe kiuhalisia zilitakiwa bati za milion 10. Kwa hiyo milion 5 alinipiga.
Pamoja na kunipiga MilionI 5 nzima hadi sasa ameleta bati za milion 4 tu kati ya milion 15 aliyopewa. Cha kushangaza simu zangu hapokei, meseji hajibu, akijibu anatoa ahadi za uongo tu, muda mwingi anakuwa ameniblock simupati kwa simu.
Naomba ushauri, mtu kama huyu nimchukulie hatua gani kisheria?
Chakushangaza baba levo yupo bungeni wewe haupo.. Ndomaana nchi haiendelei hii. Big up mkuu. Ukweli mchungu sana umempa.Bwashe sio kila anayeuwa ni katili ila ukatili unatengenezwa na wauliwao wenyewe
Daah yani nikupe m15 wewe unilipe buku buku lazima nikutafute kivingine.Nenda kwenye vyombo ya kisheria ila ikitokea mahakama imekubali akulipe buku kila baada ya mwezi usishngae ni kutokana na uwezo wake mkuu
Una potezaea tu , pia ni namna ya kujifunzaDaah yani nikupe m15 wewe unilipe buku buku lazima nikutafute kivingine.
Siku hizi JF imekuwa ya watu kuleta malalamiko ambayo kwa kweli hayatakiwi kuletwa humu!!!Kuna fundi amekuwa akifanya kazi za kupaua nyumba zangu kwa miaka mingi, alikuwa mwaminifu tu sana.